HEKIMA YA FEDHA KWA MJASIRIAMALI MCHANGA!

Jifunze Mbinu sahihi ya Kuzalisha, Kutunza na Kuwekeza Fedha zako kwa Busara


Naitwa - Mr, Lucas Nyahende.

Usiangalie Maneno Yangu tu!

Kitabu hiki kimeshabadilisha takribani maisha ya Watu 1,000 Afrika Mashariki Yote..

Waliofanikiwa Kusoma Kitabu hiki Wana haya ya kusema!.

Neema – Mama Mchuuzi, Morogoro

“Nilikuwa nauza viazi vya kukaanga kwa mtaji wa elfu 20 tu, lakini mwisho wa siku nilikuwa sijui pesa yangu inaenda wapi kila nilipokuwa nikifanya hesabu ya jumla.

Lakini Niliposoma kitabu hiki, nilijifunza namna ya kutunza kila shilingi ninayopata na kupanga bajeti zangu ndogo za kila siku.

Sasa hivi ninaweza kujiwekea akiba ya kila wiki kwa ajili ya ukuaji wangu wa badae. Nina furaha Biashara yangu imekua maradufu sasa ivi!”

James – Fundi Simu, Kisumu (Kenya)

“Kabla ya kusoma kitabu hiki, nilikuwa nafanya kazi sana lakini kila pesa ilipita tu mikononi mwangu bila ya manufaa yeyote yaani sikuelewa kabisa.

Lakini tangu nisome kitabu hiki. Sasa nimejifunza namna ya kutenganisha pesa zangu, yani hapa nina akaunti ya akiba na matumizi yangu ya kawaida, yani nimeweka mipaka ya matumizi yangu, na kwa mara ya kwanza nimenunua vifaa vipya kwa pesa niliyoitunza mwenyewe.

Kwa kweli Kitabu hiki kimekuwa mkombozi wa Maisha yangu.”

Rehema – Mwanafunzi na Mjasiriamali, Dodoma

“Niliuza sabuni chuoni lakini faida ilikuwa haikai.

Kitabu hiki kilinifundisha jinsi ya kutenganisha pesa ya biashara na matumizi yangu binafsi.

Na hilo Ndiyo somo nililohitaji mapema.

Sasa nimefungua sehemu yangu ya cherehani na najua kila senti yangu inaenda wapi.”

Salim – Mmiliki wa Duka, Mombasa, Kenya.

“Nilikuwa nafanya biashara lakini sikuwahi kujua namna ya kuweka sawa mpango wangu wa kifedha kwa usahihi.

Mara nyingi nilikuwa naona kama pesa zangu zinapotea utafikili nimelogwa!

Nilipoanza kutumia mbinu za kitabu hiki, nikajifunza namna nzuri ya kuwekeza faida ndogo ninayopata kwenye bidhaa nyingine badala ya kuitumia yote.

Na sasa Kipato changu kimekua. Natamani ningekisoma zamani hiki kitabu.”

Janeth – Mjasiriamali wa Mtandaoni, Arusha

“Kitabu hiki kimebadilisha sana mtazamo wangu juu ya pesa zangu.

Nilikuwa natumia tu faida zote ninazopata bila mpangilio maalumu yaani kiholela tu.

Lakini Leo nina mfumo mzuri wa bajeti, narekodi kila mapato yangu na matumizi yangu ya kila siku, na nimeanza kuwekeza pesa zangu kwenye mpango wangu mdogo wa kila mwezi.

Kiukweli Najisikia huru sana sasa hivi kifedha kuliko awali.

Nakushukuru sana Mr Lucas kwa kuandika kitabu hiki.”

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara!

Ninapataje kitabu! ( e-Book )

Kupata kitabu ni rahisi sana, unachotakiwa kufanya Bofya sehemu iliyoandikwa "Bofya hapa kupata Nakala yako sasa!" kisha kuna fomu itafunguka, utajaza kwa ajili ya kutoa oda yako.

Tukipata oda yako tutakutumia ujumbe kwa ajili ya kukupa maelekezo ya kufanya malipo na namna ya kupata Nakala yako..

Kitabu hiki kinapatikana kwa njia ya e-Book au PDF.. ambayo tutakutumia kwa njia ya Whatsapp..

Je, Narudishiwa pesa kama hakitakuwa na msaada kwangu kama ninavyotarajia!

Ndio kabisa, tunauhakika na kitabu chetu kuwa hautojutia kukisoma, na kitabadilisha mtazamo wako namna unavyotazamia pesa, na kitabu hiki kitakufanya uanze kufikilia kama Mwekezaji mkubwa,,

Ikitokea umeona hakuna matarajio yeyote uliyoyapata baada ya kusoma maudhui yaliyopo katika kitabu hiki, basi utarudishiwa pesa yako yote.. kwa uaminifu kabisa..

Je, Matokeo nitaanza kuyaona Baada ya Muda gani?

Kiukweli hakuna jambo rahisi utakalokutana nalo, kila hatua itahitaji juhudi yako na utekekelezaji kulingana na utakavyojifunza..

Lakini kama utafanyia kazi kila jambo utakalojifunza katika kitabu hiki, basi matokeo utayapata kila baada ya unaposoma ukurasa mmoja.