HEKIMA YA FEDHA KWA MJASIRIAMALI

OFA HII MWISHO NI.


JE..! HUJUI PESA ZAKO ZINAKWENDA WAPI, LICHA YA KUWA UNAONA UNAPATA PESA…?

Yaani, Kila siku nilikuwa najikuta najiuliza maswali yale yale…

> Kwa nini mimi nikitafuta pesa zisipati na wengine wanavuna pesa kirahisi tu?

> Je, ni makosa gani nafanya yanayozuia pesa zisije kwangu au nina laana?

> Kwa nini kila mwisho wa mwezi nalipa madeni badala ya kubaki na akiba?

> Je, kweli mtu anaweza kuwa tajiri hata kama ametoka kwenye familia ya kimaskini?

> Kwa nini wajasiriamali wengine wanafanikiwa biashara zao, na mimi kila siku najikuta nikianza upya?

> Nifanyeje nipate mtaji bila kukopa sehemu yeyote?

Je, na wewe umewahi kukaa kimya usiku mmoja, ukaanza kujiuliza hayo maswali hapo juu?

Kama jibu ni “NDIO” basi ujue haupo peke yako.

Hata mimi nilipita huko miaka kama 9 ivi  iliyopita.

Unajua nini…. Ndugu yangu …

Naitwa Lucas Nyahende…

Hapo nyuma kidogo, Nilikuwa mtu wa kawaida sana.

Nilianza safari yangu ya kujitafuta nikiwa na ndoto kubwa sana, lakini uwezi amini kila juhudi nilizokuwa nawekeza kwenye kazi.

Pesa zote nilizokuwa Napata ziliishia kulipa madeni, kupata hasara, Kula bata na mwishoni kukata tamaa kabisa ya maisha.

Niliishia kuwaona rafiki zangu wakipiga hatua, wengine wakinunua magari, wakijenga, wakati mimi nikiwa nazidi kudidimia chini..

Aisee… asikuambie mtu feelings unazozipata hapo, yaani kouna rafiki zako wanazidi kupiga hatua na wewe unabaki kuwa mkia kila siku.

Unaja nini....

Nilianza kuamini Imani zingine potofu sasa..

Nikawa nasema..

“Labda mimi nina bahati mbaya au nina mikosi”

“Labda ndugu zangu wameniloga au kuna kitu Mungu hakuniwekea”

 

Lakini kumbe, wala sikuwa nimelogwa au nilikuwa na bahati mbaya..

Shida ilikuwa kwangu mwenyewe..

Nilikuwa sina elimu yeyote sahihi kuhusu usimamizi wa fedha zangu, yaani nilikuwa naishi kama vile Dunia ni ya baba yangu..

Lakini bhana wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana..

Siku moja nikiwa pembezoni mwa ukingo wa bahari ( UFUKWENI ).

Niligundua kuwa watu wengi tunatafuta pesa, lakini wapo watu wachache wanaopenda kujifunza kanuni za pesa.

Ukweli huu upo wazi, Vijana wengi hatupendi kusoma vitabu vya uchumi kabisa..

Yaani tena kwa sasa ndio tupo busy kweli kufwatilia Udaku na Shilole kafanya nini, Trends za Harmonize na Ligi kuu au michuano ya Zanzibar..

By the way, baada ya kugundua ivyo...

Nilianza kujenga tabia ya kupenda kusoma vitabu vinavyohusu Uchumi na usimamizi wa pesa.

Nikajifunza pia kutoka kwa watu walionitangulia kimafanikio.

Nikawa najifunza kupitia makosa ninayofanya mwenyewe.

Nikawa najifunza pale nilipokuwa nikifilisika na kuinuka tena.

Yaani wewe acha tu, nimepita kwenye safari ngumu sana ya utafutaji…

Lakini..

“Kila kosa nilikuwa nachukulia ni kama somo kwangu”

“Kila hasara niliyokuwa Napata, nilikuwa nachukulia kama darasa kwangu”

“Na kila maumivu  niliyokuwa napitia, niliyachukulia kama mwanga kwangu”

 

Hapo ndipo nikajua kwamba, pesa siyo adui wala sio rafiki.

Pesa ni kama kioo kinachoakisi fikra zetu za ndani.

Hiyo ndiyo siri iliyobadilisha maisha yangu…

Ndugu yangu…

Baada ya safari yangu hiyo ndefu ya kutafuta majibu.

Nilikusanya kila elimu na hekima niliyojifunza, kila uzoefu, kila njia za mafanikio ili kutoka kwenye maisha ya umaskini wa akili hadi kwenye uhuru wa kifedha.

Ndipo wazo likanijia, la kuandika kitabu.

Maana nilijua kuna vijana wengine sasa wanapitia changamoto kama nilizokuwa napitia mimi.

Nikaamua kuandika kitabu hiki cha “HEKIMA YA FEDHA KWA MJASIRIAMALI MCHANGA”

Sikuandika kitabu hiki kwa sababu eti nimefanikiwa sana.

Bali nimeandika kwa sababu nilijikwaa sana na nilianguka mara nyingi sana.

Ivyo kulingana na maumivu niliyopitia sitamani kuona na vijana wengine wanapitia njia ile ile niliyopitia.

Kwa kweli..

Kitabu hiki si kama vitabu vya hadithi tu, ni kitabu kilichotokana na maisha yangu halisia na ni ramani ya maisha ya usimamizi wa kifedha.

Ni kitabu kinachotoa mwongozo wa mtu anayepambania ndoto zake kimya kimya.

kijana ambaye ameuchoka umasikini, lakini bado ana moyo wa kuendelea kuamini katika ndoto zake.

Kwa hio kitabu hiki hakitakuwa kwa ajili ya kila mtu, bali kwa watu wachache tu wanaopenda kuwa na maisha mazuri…

Mfano:

“Kama unajikuta upo kwenye kipindi hicho kigumu cha kutafuta pesa”

“Kama umewahi kulala bila matumaini ya kesho yako ya kifedha”

“Kama unahisi muda unaenda sana na matokeo huyaoni bado”

“Kama hujui kusimamia pesa za Biashara yako”

Basi kitabu hiki ni zawadi ya maisha yako..


Pata Kitabu hiki cha "HEKIMA YA FEDHA KWA MJASIRIAMALI MCHANGA" kitakachokupa majibu yote ya maswali yako — tena kwa lugha nyepesi, na ya kawaida na hatua kwa hatua.

Kitabu hiki Kimeshasaidia zaidi ya Wajasiriamali 100+

KIUKWELI HUTAJUTA KUKISOMA...

LEO NATOA KWA BEI YA PUNGUZO..

PATA PUNGUZO KWA 50% OFF

Bei ya Kawaida Tsh ,15000/=

Bei ya Ofa Tsh 5,000/= tu

⚠️ NB: OFA HII INAISHA LEO SAA 6:30 USIKU!

LIPIA TSH 5,000/= TU

WAHI OFA HII KABLA HAIJAKUPITA..

🎁 UTAPATA NA BONUS MAALUM KWA AJILI YAKO UKIFANYA MANUNUZI LEO:

BONUS:

Ukilipia sasa ivi, nitakupatia VIDEO ya somo la "SANAA YA KUMSHAWISHI MTEHA" Buree..

Video hii ni somo ambalo litakufundisha namna ya kumvuta mteja, kumbadilisha na kuwa mnunuzi wa bidhaa au huduma zako.

Video hii itakufundisha namna ya kuongeza mauzo yako bila ya kutumia nguvu nyingi.

THAMANI:

Thamani ya Somo hili ni Tsh 50,000/=

lakini ukifanya manunuzi ya kitabu leo nitakupatia somo hili.. BUREE..

🕒 Bonus hii inapatikana tu kama utachukua hatua leo.

👉 Chukua hatua sasa kabla hujapitwa na Ofa hii. 

NAKUPA GARANTEE YA KUPATA MATOKEO SAHIHI..

IKITOKEA HUJAKIPENDA KITABU BASI NAKUHAIDI KUKURUDISHIA PESA ZAKO ZOTE...

karibu sana...

Ukiona hiyo saa hapo chini imesoma sifuri ujue ndio mwisho wa ofa hii.

OFA HII MWISHO NI.


P.S. Wajasiriamali wengi wanaanguka si kwa sababu hawana mtaji, bali kwa sababu hawana maarifa ya kutosha kuhusu namna ya kutunza na kukuza kile kidogo walichonacho.


Usisubiri hadi upoteze kila kitu ndipo uanze kujifunza.


Anza leo. Jifunze Hekima ndogo ya fedha na inaweza kuwa mwanzo mzuri wa mafanikio makubwa ya maisha yako ya baadae!

Karibu Sana...

PATA BONUS YA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAPP.


WAJASIRIAMALI WACHANGA HUB

Jiunge na Jukwaa la Wajasiriamali Wenzako, BUREE.


TUNAPATIKANA:

Dar Es Salaam - Tanzania

+255 755 186 500

EMAIL:

tplacademic@gmail.com

2025 I All Rights Reserved

Created withsysteme.ioTermsPrivacy