HEKIMA YA FEDHA KWA MJASIRIAMALI


Daaah! Mbona siyaelewi haya maisha…

Yaani, Kila siku nilikuwa najikuta najiuliza maswali yale yale…

> Kwa nini mimi nikitafuta pesa zisipati na wengine wanavuna pesa kirahisi tu?

> Je, ni makosa gani nafanya yanayozuia pesa zisije kwangu au nina laana?

> Kwa nini kila mwisho wa mwezi nalipa madeni badala ya kubaki na akiba?

> Je, kweli mtu anaweza kuwa tajiri hata kama ametoka kwenye familia ya kimaskini?

> Kwa nini wajasiriamali wengine wanafanikiwa biashara zao, na mimi kila siku najikuta nikianza upya?

> Nifanyeje nipate mtaji bila kukopa sehemu yeyote?

Yaani, Kila siku nilikuwa najikuta najiuliza maswali yale yale…

> Kwa nini mimi nikitafuta pesa zisipati na wengine wanavuna pesa kirahisi tu?

> Je, ni makosa gani nafanya yanayozuia pesa zisije kwangu au nina laana?

> Kwa nini kila mwisho wa mwezi nalipa madeni badala ya kubaki na akiba?

> Je, kweli mtu anaweza kuwa tajiri hata kama ametoka kwenye familia ya kimaskini?

> Kwa nini wajasiriamali wengine wanafanikiwa biashara zao, na mimi kila siku najikuta nikianza upya?

> Nifanyeje nipate mtaji bila kukopa sehemu yeyote?

Daaaah, Samahani naomba kuuliza..

Je, na wewe umewahi kukaa kimya usiku mmoja, ukafumba macho, ukaanza kujiuliza hayo maswali hapo juu?

Kama jibu ni “NDIO” basi ujue haupo peke yako.

Hata mimi nilipita huko miaka kama 9 ivi  iliyopita.

Unajua nini…. Ndugu yangu …

Naitwa Lucas Nyahende…

Hapo nyuma kidogo, Nilikuwa mtu wa kawaida sana.

Nilianza safari yangu ya kujitafuta nikiwa na ndoto kubwa sana, lakini uwezi amini kila juhudi nilizokuwa nawekeza kwenye kazi, Pesa zote nilizokuwa Napata ziliishia kulipa madeni, kupata hasara, Kula bata na mwishoni kukata tamaa kabisa ya maisha.

Niliishia kuwaona rafiki zangu wakipiga hatua, wengine wakinunua magari, wakijenga, wakati mimi nikiwa nazidi kudidimia chini..

Aisee… asikuambie mtu feelings unazozipata hapo, yaani kouna rafiki zako wanazidi kupiga hatua na wewe unabaki kuwa mkia kila siku.

Unaja nini....

Nilianza kuamini Imani zingine potofu sasa..

Nikawa nasema..

“Labda mimi nina bahati mbaya au nina mikosi”

“Labda ndugu zangu wameniloga au kuna kitu Mungu hakuniwekea”

 

Lakini kumbe, wala sikuwa nimelogwa au nilikuwa na bahati mbaya..

Shida ilikuwa kwangu mwenyewe..

Nilikuwa sina elimu yeyote sahihi kuhusu usimamizi wa fedha, yaani nilikuwa naishi kama vile Dunia ni ya baba yangu..

Lakini bhana wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana..

Nakumbuka Siku moja nikiwa nimejikalia zangu kimya pembezoni mwa ukingo wa bahari ( UFUKWENI ), niligundua kitu kimoja muhimu sana:

Niligundua kuwa watu wengi tunatafuta pesa, lakini wapo watu wachache wanaopenda kujifunza kanuni zake.

Ukweli huu upo wazi, Vijana wengi hatupendi kusoma kabisa..

Yaani tena kwa sasa ndio tupo busy kweli kufwatilia Udaku na Shilole kafanya nini, Trends za Harmonize na Ligi kuu au michuano ya Zanzibar..

By the way, tangu nilipogundua ivyo..

kuanzia siku ile...

Nilianza kujenga tabia ya kupenda kusoma vitabu vinavyohusu Uchumi na usimamizi wa pesa, nikajifunza pia kutoka kwa watu walionitangulia, nikawa najifunza kupitia makosa ninayofanya, nikawa najifunza pale nilipokuwa nikifilisika, nikainuka tena.

Yaani wewe acha tu, ni vurugu nimepita kwenye safari ngumu sana…

Lakini..

“Kila kosa nilikuwa nachukulia ni somo kwangu”

“Kila hasara niliyokuwa Napata, nilikuwa nachukulia kama darasa kwangu”

“Na kila maumivu  niliyokuwa napitia, niliyachukulia kama mwanga kwangu”

 

Hapo ndipo nikatambua kwamba, pesa siyo adui wala sio rafiki, Pesa ni kama kioo kinachoakisi fikra zetu za ndani.

Hiyo ndiyo siri iliyobadilisha maisha yangu…

Ndugu yangu…

Baada ya safari yangu hiyo ndefu ya kutafuta majibu, nilikusanya kila elimu na hekima niliyojifunza, kila uzoefu, kila njia ya kutoka kwenye umaskini wa akili hadi kwenye uhuru wa kifedha.

Ndipo wazo likanijia, la kuandika kitabu, maana nilijua kuna vijana wengine hivi sasa wanapitia changamoto kama nilizokuwa napitia mimi, Nikaamua kuandika kitabu hiki cha “HEKIMA YA FEDHA KWA MJASIRIAMALI MCHANGA”

Sikuandika kitabu hiki kwa sababu eti nimefanikiwa sana, bali nimeandika kwa sababu nilijikwaa sana na nilianguka mara nyingi sana ivyo kulingana na maumivu niliyopitia sitamani kuona na vijana wengine wanapitia njia ile ile niliyopitia.

Kwa kweli..

Kitabu hiki si kama vitabu vya hadithi tu, ni kitabu kilichotokana na maisha yangu halisia na ni ramani ya maisha ya usimamizi wa kifedha.

Ni kitabu kinachotoa mwongozo wa mtu anayepambania ndoto zake kimya kimya, kijana ambaye ameuchoka umasikini, lakini bado ana moyo wa kuendelea kuamini katika ndoto zake.

Kwa hio kitabu hiki hakitakuwa kwa ajili ya kila mtu, bali kwa watu wachache…

Mfano:

“Kama unajikuta upo kwenye kipindi hicho kigumu cha kutafuta pesa”

“Kama umewahi kulala bila matumaini ya kesho yako ya kifedha”

“Kama unahisi muda unaenda sana na matokeo huyaoni bado”

“Kama hujui kusimamia pesa za Biashara yako”

Basi kitabu hiki ni zawadi ya maisha yako..


Pata Kitabu hiki cha "HEKIMA YA FEDHA KWA MJASIRIAMALI MCHANGA" kitakachokupa majibu yote ya maswali yako — tena kwa lugha nyepesi, na ya kawaida na hatua kwa hatua.

Kitabu hiki Kimeshasaidia zaidi ya Wajasiriamali 100+

KIUKWELI HUTAJUTA KUKISOMA...

LEO NATOA KWA BEI YA PUNGUZO..

PATA PUNGUZO KWA 50% OFF

Bei ya Kawaida Tsh 20,000/=

Bei ya Ofa Tsh 10,000/= tu

⚠️ NB: OFA HII INAISHA LEO SAA 6:30 USIKU!

LIPIA TSH 10,000/= TU

WAHI OFA HII KABLA HAIJAKUPITA..

Utakachojifunza ndani ya eBook hii:

>> Utajifunza namna ya kuzalisha pesa zako kwa kutumia akili badala ya nguvu.

>> Utajifunza mbinu za kutunza na kuongeza kipato chako kwa nidhamu.

>> Utajifunza Hekima ya fedha inayojenga mafanikio ya kudumu.

>> Utajifunza Siri ambazo wafanyabiashara wakubwa hawawezi kusema hadharani.

🎁 UTAPATA NA BONUS MAALUM KWA AJILI YAKO UKIFANYA MANUNUZI LEO:

BONUS:

1. PDF ya "Mpango wa siku 21 wa kifedha"

Nitakupa Mwongozo huu ni wa vitendo ili kukusaidia wewe kujenga tabia ya kupanga matumizi yako, akiba na uwekezaji wako.

2. APP ya "Kurekodi mapato na matumizi yako ya kila siku"

Nitakutumia link ya App ya simu, ambayo ni kifaa rahisi kutumia kwa ajili ya kusimamia pesa zako na kupanga mapato na matumizi yako popote ulipo.

3. USHAURI WA FEDHA.

Nitakusaidia kukupa ushauri wa bure, kulingana na malengo yako ya fedha, Uwekezaji na binafsi.

🕒 Bonus hizi zinapatikana tu kwa waliochukua hatua leo.

👉 Chukua hatua sasa kabla hujapitwa na Ofa hii. 

NAKUPA GARANTEE YA KUPATA MATOKEO SAHIHI..

IKITOKEA HUJAKIPENDA KITABU BASI NAKUHAIDI KUKURUDISHIA PESA ZAKO ZOTE.

karibu sana...

Ukiona hiyo saa hapo chini imesoma sifuri ujue ndio mwisho wa ofa hii.

OFA HII MWISHO NI.


P.S. Wajasiriamali wengi wanaanguka si kwa sababu hawana mtaji, bali kwa sababu hawana maarifa ya kutosha kuhusu namna ya kutunza na kukuza kile kidogo walichonacho.


Usisubiri hadi upoteze kila kitu ndipo uanze kujifunza.


Anza leo. Jifunze Hekima ndogo ya fedha na inaweza kuwa mwanzo mzuri wa mafanikio makubwa ya maisha yako ya baadae!

Karibu Sana...


WAJASIRIAMALI WACHANGA HUB

Jiunge na Jukwaa la Wajasiriamali Wenzako, BUREE.


TUNAPATIKANA:

Dar Es Salaam - Tanzania

+255 755 186 500

EMAIL:

tplacademic@gmail.com

2025 I All Rights Reserved

Created withsysteme.ioTermsPrivacy